Lyrics

Falsafa! Aaah MwanaFA, mkoi Omeking okanga mi Wewe ni Gwiji wa magwiji Asiyekubali aumbe Dunia yake Lakini mimi Nyosh El Saadat Nakuchukuliaga kama Mobutu Seseseko Kuku mbendo wa zambanga lemahghshale Bossomba sseskule never ende never loose MwanaFA legend, legend, legend Naota ndoto hazina rangi Naamka nazipaka Watoto wa kiswazi hawawezi kutwekea mipaka Mungu ndo ametaka hiyo ungoka wa nyoko Hakuna kiunzi hatuwezi ruka Tushasukuma sana milango ila ndiko vuta Niamini na ina funguka Mbwa mkali usikatize, waoni tunapita Tunavuka kwa kamba madaraja yalovunjika Mungu wetu halali wala haendi likizo Hatuachi kumuomba na anafuta matatizo Yakija tena naomba tena na Mungu anayafuta tena Mioyo yetu iko safi, safi ile kinoma Kifo kiniue au maumivu yanikomaze Yote sawa ila ujinga usinipumbaze Kila kiumbe ana njia yake, moyo una tamaa zake Mbwa mpumbavu ndo anaweza mbekea ndege Waite wamwone gwiji wajigambe Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe Waite wamwone gwiji wajigambe Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe Mi ni hustler baby that's what I do, I hustle Shida zikwepeki ziko kukupima muscle Zikutoe macho, zikutoe jasho Zikupe akili na zikwandae kwa kesho Jikaze mwana, usichukuliwe mateka Kama unaachana na ya dunia we enda uandike talaka Ukiomba mafanikio fahamu yanakuja na wivu Havitengani havikai mbali kidevu na ndevu Dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo Sio magumu kama kuclean clean kwa bio Kaka money kupa moyo umegusa tu button sio Kuwa mpambanaji kama binamu yangu swiyo Huu si mziki wa mafala ni mziki wa ma-titan Unakweka kitako unaketi unakufundisha Unafeel the passion zaidi ya Telemundo Mapunch mengi yatatoucha akizima mdundo Bye bye Waite wamwone gwiji wajigambe Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe Waite wamwone gwiji wajigambe Waite waite waje wamwone ngwiji wajigambe
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out