Lyrics

Muda mrefu Jamila hatuonani Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani? Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama? Jamila alipokaa aka'anza kulia Oh, nakushindwa kuongea Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila aliponza kuongea Aliongea na maumivu mingi Navile ali'kua anaongea Nikamuonea huruma Ati walianza penzi bora Siku nyingine harudi nyumbani Kumuuliza kama amepata mwengine Akamfungia virago Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Sijui nitamsaidiaje? Jamila nimwambie afanyeje? Nitamupa kitanda, chakula akule Lakini mambo ya mapenzi naogopa Zamani mimi nae tulishindana Nikapata muke akapata bwana Sasa analia Chameleone nifanyaje? Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Muda mrefu Jamila hatuonani Penzi gani imekuleta kwangu nyumbani? Karibu nikupe kiti, unielezee nini mama? Jamila alipokaa aka'anza kulia Oh, nakushindwa kuongea Ata mimi mwenyewe nikaumia kujiuliza kwa nini analia? Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Sijui nitamsaidiaje? Jamila nimwambie afanyeje? Nitamupa kitanda, chakula akule Lakini mambo ya mapenzi naogopa Zamani mimi nae tulishindana Nikapata muke akapata bwana Sasa analia Chameleone nifanyaje? Jamila analia nimwambie afanyeje? Eh Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemtupa Jamila analia (ah-ha), bwana wake amemuwacha (oh-ooh) Jamila analia (ah-ha), bwana wake -
Writer(s): Jose Chameleone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out