Lyrics

Nisikize (mtoto wa mama, Hivi unavyoniona, ah mimi deno, Nimetoka na mbali sana, eh)x2 88 kangemi nikazaliwa, ah Ata mwangaza sikuwahi kuja kuona x2 (Refrain) Story yangu, Ni story yangu Ebu rafiki nipe sikio, Me nataka simulia (Bahati) Najua uchungu, Maswali mengi kwako moyoni Kwa nini mola iwe hivi Kwa nini mola iwe mimi, Najua uchungu na mimi haunioni, Niko na rasta lakini mboni, Imefungika wapewa story, 99 mama alipoondoka, Sikiza nikupe story Kumbuka ghetto ni ngori 99 baba akanitoka, Sana ikawa machozi, Mchanga na sijiwezi, Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi Ndoto zangu nikatupa mbali, x2 Ila leo niko mahali, Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi Kumbe mungu aliona mbali, Ivyo mziki amenipa mimi Nasema mungu ni mwema, Stori zimebadilika, Leo hii tunaimba wanabarikiwa, x2
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out