Lyrics

Hello its me again Mr Burudani, take away the pain Pole kwa kuchelewa si unajua foleni Nawapa vidonge kutuliza complain Kichwa, sijabeba kama pambo Akili, nimetega kwenye chambo Fullu, charge na fullu bundle Ukileta usoo, unawekwa kando Ana maseke ukitete Muulize ila kama mapepe Mtulize, sema naye Oooh aaah eeeh Oooh aaah eeeh Kama uliibiwa cheche Imekuwa kasheshe Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe Sema nao Oooh aaah eeeh Wadeseke Oooh aaah eeeh Utaua ua bure sijalala Nimeficha tu makucha Huku ndani ndo kwanza kumekucha Vunja mifupa, waulize nani kaachiwa bucha Leo, kama ni kishindo tingisha(leo) Kama ni mzuka pandisha(leo) Kama ni maji mwagika(leo) Kama ni mnazi katika(leo) Kama ni kishindo tingisha(leo) Kama ni mzuka pandisha(leo) Kama ni maji mwagika(leo) Na kama ni mnazi katika(leo) Kama pochi limechanika Speaker zinakita Mbona hapata chimbika leo, yeah yeah Mamacita, take a picture tunahakikisha leo (Leo, leo, leo, leo) Eeeh, waweke walete mpira kati Nimeondoka kidogo tu vagaranti Niko online, nataka kuchati Am not finishing, am just getting started Mazungumzo baada ya habari Cheza mbali, maana hali sio shwari Jichanganye kama kachumbari Chumvi mpaka kwenye chai hii ya leo kali Umebugi step ebu cheki cheki If am not mistaken, umegeuza gazeti Ukitaka kazi ya jeshi Don't forget hakuna kuku petty petty Ana maseke ukitete Muulize ila kama mapepe Mtulize, sema naye Oooh aaah eeeh Oooh aaah eeeh Kama uliibiwa cheche Imekuwa kasheshe Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe Sema nao Oooh aaah eeeh Wadeseke Oooh aaah eeeh Kama ni kishindo tingisha(leo) Kama ni mzuka pandisha(leo) Kama ni maji mwagika(leo) Kama ni mnazi katika(leo) Kama ni kishindo tingisha(leo) Kama ni mzuka pandisha(leo) Kama ni maji mwagika(leo) Na kama ni mnazi katika(leo) Kama pochi limechanika Speaker zinakita Mbona hapata chimbika leo, yeah yeah Mamacita, take a picture tunahakikisha leo (Leo, leo, leo, leo)
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Sweetbeth Mwimula, Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out