Music Video

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Luludiva
Luludiva
Songwriter

Lyrics

Its S2kizzy beiby Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Napenda ukinichombeza, dekeza Acha nijisifie Ooh penzi lako koleza,ongeza Utamu nisikie(heehe) Tunapendana me na we Visa visa vina tu owe Mapenzi ya ki China paranawe Mwenzako me sina kolo Hallo hallo, sina kwaro kwaro Badgal me to a shadow shadow I say hallo, hallo miss Caro Caro Me nimwage mpunga mcharo mcharo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Kuna vichungu na vitamu Kwenye mapenzi ya kwanza uwe na nidhamu(ooh) Kila kilamba chumvi tamu Twende maximum mama sio minimum(yeah boy) Naskia uzuri wa nyumba choo(yeah yeah) Nitakujengea mpako bungalow(yeah yeah) Kama mchungwa weka kalingoo(yeah yeah) Targeti ni mpenzi than you never know Unanichanganya kadada Kutwa nakuwaza kadada Kwa mapenzi yako kadada Unanifanya nionekane bora kadada(ayiii) Hallo hallo, sina kwaro kwaro(bang bang) Badgal me to a shadow shadow(ayiii) I say hallo, hallo miss Caro Caro Me nimwage mpunga mcharo mcharo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Mapopo, mapopo Laizer on the mix
Writer(s): Salim Kassim Maengo, Country Boy, Lulu Abbas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out