Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Peter Audiphaxad Omwaka
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Hapo ulipo ndipo tulipo kuwepo ndugu
Tumepitia hayo hayo mapito
Hapo ulipo ndipo tulipo kuwepo dada
Tumeyaona hayo hayo mateso
Hanna kitu kipya chini ya ardhi
Yote unayo ona yamekuwepo
Hamna kitu kipya chini ya ardhi
Yote unayo pitia yamekuwepo
[Chorus]
Jipe moyo, moyo
Aliyewakumbuka atakukumbuka
Jipe moyo, moyo
Aliyefanya kwao atafanya kwako
[Verse 2]
Hio hali ni ya muda tu, ni ya muda
Ehh mwanangu jipe moyo, jipe moyo
Hio hali ni ya muda tu, ni ya muda
Mwanangu jipe moyo, jipe moyo
[Verse 3]
Kama nikulala njaa, sisi tulilala njaa
Kama ni kutukanwa, tulitukanwa sana
Kama kudharauliwa, situlidharauliwa
Na kama nikufungiwa, tulifungiwa nyumba
[Verse 4]
Hamna kitu kipya chini ya ardhi
Aliyetukumbuka atakukumbuka
Hamna kitu kipya chini ya ardhi
Aliyefanya kwao atafanya kwako
[Chorus]
Jipe moyo, jipe moyo
Aliyewakumbuka atakukumbuka
Jipe moyo, moyo
Aliyefanya kwao atafanya kwako
[Chorus]
Jipe moyo, moyo
Aliyewakumbuka atakukumbuka
Jipe moyo, moyo
Aliyefanya kwao atafanya kwako
Aaai mama wee Tinya Khumwami, yanda khumwami
Ai papa we tinya Khumwami, yanda khumwami
Omwana wee tinya Khumwami, yanda khumwami
Eeh tinya Khumwami, yanda khumwami
[Outro]
Jipe moyo, moyo
Aliyewakumbuka atakukumbuka
Jipe moyo, moyo
Aliyefanya kwao atafanya kwako
Written by: Peter Audiphaxad Omwaka


