Music Video

Jux ft. Vanessa Mdee - Sumaku Cover by Slim Brenda
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
Kool Savas
Kool Savas
Performer
Vanessa Mdee
Vanessa Mdee
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Songwriter
S2Kizzy
S2Kizzy
Composer

Lyrics

Vee Money on the track yeah (Its S2kizzy beiby) Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii? Kila stori ninayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa niniii? Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti Belong to you, belong to me beiby Ananivuta vuta kama magneti Duu na duu na duu na duu beiby Ananivuta vuta kama magneti Yeah yeah yeah... Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do, ooh yeah Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! Beiby please, Tell me you want more What you like about the feeling? Honestly, I wanna show you Am feeling you too Lemmi take you to a nice place Tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote, upate raha Am caught up in you And am tempted to stay up For sure Nipepee (oooh beiby) Nikikuona nazubaa (oooh beiby) Ooh beiby (oooh beiby) Ninapandwa na kichaa (oooh beiby) Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you beiby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do beiby Ananivuta vuta kama magneti You belong to me, I belong to you beiby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do for you Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! sumaku! Sumaku! sumaku! Anatuvua Kila akitupa nyavu (anachukua) Aah visenti vyetu vyote (anatuvua) Aah mama kila akitupa nyavu (anachukua) Hatutoki eeh (anatuvua) Aah-ah akitupa nyavu (anachukua) Yaani visenti vyetu vyote (anatuvua) Mama mama ma... (Anachukua) Yeee ye ye ye ye
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Vanessa Mdee, Juma Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out