Lyrics

S2kizzy baby Sinsima mtoto mpe funguo za bima Kanitoa bongo nimefika mpaka china totoo Zipu ka kishungi nimezima Amenipa lunch nimekula mpaka dinner yee Santana Santana kitandani maji maji anapambana Anainama kanainama kanavyoikota ka Maua sama Asa lupwili pwili sikopeshi (sikopeshi) Nampa mbili mbili sina brek (sina brek) Nakadundisha mwili kitenesi (kitenesi) Amenikill kill, murder case Asa nioneshe alichokupa mama Sugua Sugua Sugua Sugua sugua sugua mama wee Sugua (aaaaaa) Sugua (aaaaaa) is Platnumz Sugua (aaaaaa) zombie Sugua sugua sugua Hata niwe na pini pini ama kitoto Kupo kwa chini chini ama kwa mboko Goli 70 70 ama kimoko Chenga mwilini, lini John Boko (broooke) Udi, udi, udi, udi Katoto kapo good good good Mood mood mood mood Ninakavyokatafuna kama food Oyah katoto yani dooh salalee (eeeee doh salalee) Na kama fish kambale (eheee ka kambale) Wu kibidu bidua (oooh bidua) Pindu pindua (ooh pindua) Yani na ka chimbu chimbua (ooh chimbua) Nambandika bandua Ooh dada deki Yani kama gaga limekwama kwa miguu Sugua Sugua Sugua Sugua sugua sugua mama wee Sugua (aaaaaa) Sugua (aaaaaa) Sugua (aaaaaa) Sugua sugua sugua Oya yani wakiweka naweka (weka tuone) Kichomoa nachomeka (weka tuone) Weka weka weka mpaka down (weka tuone) Kukomesha watoto wa town (weka tuone) Weka kama unasusa (weka tuone) Nisogezee kisambusa (weka tuone) Weka weka weka mpaka down (weka tuone) Nikomeshe watoto wa town (weka tuone)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Naseeb Abdul Juma Issack, Juma Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out