Lyrics

Ooh aah ooh aah aah eeeh Ooh aah ooh aah aah eeeh Ooh aah ooh aah aah eeeh Ooh aaaahh Kila siku ninapoamka Ninapoianza siku mpya Namshukuru Mola kwa kunilinda Nafasi nyingine nikapewa Labda nikijituma Na mi iko siku ataniletea Na mi niwe na vyangu Niepuke ya walimwenguu Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema Eeh eeh eeeh oooh Kukosa kitu leo sio tatizo Nikitafuta nitapata kesho Naamini Nami ataniletea Pamoja na magumu ninayopitia Kukosa kitu kwangu sio tatizo Nikitafuta nitapasta kesho Naamini Nami ataniletea Pamoja na magumu ninayopitia. Eeeeh eeh Hawajui kuhisi kwa upendo Ama ninafuraha Siku zote Maisha yetu ni uadui tu Hatujui dunia tunayopita tu Na kwenye maisha kuna kuanguka Ila mi sitachoka nitainuka Mpaka siku itakapofika Ndoto zangu zote kukamilika Na kwenye maisha kuna kuanguka Ila mi sitachoka nitainuka Mpaka siku itakapofika Ndoto zangu zote kukamilika Mmmh Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema Kukicha ni maneno maneno Wenzangu hamuishi kusema Na mi sijali yenu maneno Mwanadamu amezaliwa anasema Eeh eeh eeeh oooh Kukosa kitu leo sio tatizo Nikitafuta nitapata kesho Naamini nami ataniletea Pamoja na magumu ninayopitia Kukosa kitu kwangu sio tatizo Nikitafuta nitapata kesho Naamini nami ataniletea Pamoja na magumu ninayopitia
Writer(s): Benard Michael Paul Mnyang'anga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out