Lyrics

Asubuhi tu kukicha, Mi nazianza pilika Mchana kutwa kutafuta, Nikutunze langu ua Na uzuri ulonao, Nakuacha nyumbani peke yako Roho inaniuma mwenzio, Natamani nishinde kando yako Na uzuri ulonao, Nakuacha nyumbani peke yako Roho inaniuma mwenzio Natamani nishinde pembeni yako Mi napata homa, Jioni na watu ukisimama, mh Na roho inaniuma Sokoni kurudi umechelewa Mi napata homa, Jioni na watu ukisimama Na roho inaniuma, Sokoni kurudi umechelewa Samboira kuruse, Sumu kanee viu ya kutali Jichunge mama, Katu sitopenda nikukose mpenzi we Samboira kuruse, Sumu kane viu ya kutali Jichunge mama, Katu sitopenda nikukose mpenzi we Ushajua mi nakujali sana, Ndo maana moyo wangu unaniuma Nakuomba kipenzi chunga sana, Maana wapo wasopenda kutuona Ushajua mi nakujali sana, ndo Maana moyo wangu unaniuma Nakuomba kipenzi chunga sana, Maana wapo wasopenda kutuona Wakijipitisha kutwa kucha, Uwaambie kwangu umeshafika Usidanganyike na zao pesa, Pamba na magari ni vya kupita Wakijipitisha kutwa kucha, Uwaambie kwangu umeshafika Usidanganyike na zao pesa, Pamba na magari ni vya kupita Samboira kuruse, Sumu kane viu ya kutali Jichunge mama, Katu sitopenda Nikukose mpenzi we Samboira kuruse, Sumu kane viu ya kutali Jichunge mama, Katu sitopenda nikukose mpenzi we Samboira kuruse, Sumu kane viu ya kutali Jichunge mama Katu sitopenda, Nikukose mpenzi we Samboira kuruse, Sumu kane viu ya kutali Jichunge mama, Katu sitopenda, Nikukose mpenzi we
Writer(s): Benard Michael Paul Mnyang'anga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out