Lyrics

Wewe ndiwe Mungu muumbaji Uweza wako ni wa ajabu Wewe ndiwe Mungu mpaji Matendo yako ni ya ajabu Mipaka ya bahari, uliiweka Mbingu ukaziumba, bila nguzo Mipaka ya bahari, uliiweka Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Wewe ndiwe Mungu muumbaji Uweza wako ni wa ajabu Wewe ndiwe Mungu mpaji Matendo yako ni ya ajabu Mipaka ya bahari, uliiweka Mbingu ukaziumba, bila nguzo Mipaka ya bahari, uliiweka Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Wewe ndiwe Mungu muumbaji Uweza wako ni wa ajabu Wewe ndiwe Mungu mpaji Matendo yako ni ya ajabu Wewe ndiwe Mungu muumbaji Uweza wako ni wa ajabu Wewe ndiwe Mungu mpaji Matendo yako ni ya ajabu Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Bila Nguzo, bila nguzo Mbingu ukaziumba, bila nguzo Muumbaji, ndiwe Mungu Muumbaji, ndiwe Mungu Mpaji, ndiwe Mungu Mpaji, ndiwe Mungu Mpaji, ndiwe Mungu Muumbaji, wa vyote vilivyopo Mito, bahari, mbingu na nchi Ndiwe Mungu Muumbaji, ndiwe Mungu Muumbaji, ndiwe Mungu Mpaji, ndiwe Mungu Mpaji, ndiwe Mungu
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out