Lyrics

Aha, chupa ilionekana chai au sio Chupa ilionekana chai (Its S2kizzy beiby) Billnas, Billnas Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Unyonge tai Alafu mfukoni mambo mbaya Hawatudai yeah yeah yeah Hata wavujishe picha mbaya Wakuite babu Nami waniite bibi wetujukuu Ooh yeah washike adabu Washindwe na walegee eeh Unanisitiri Yaani hutaki niumbuke(Aaaah) Wawili tu chumbani Ardhi ipasuke (Aaaah) Ukiweza nichune kaka Pahali ambapo mi nina bugana Ukiweza nichune kaka Pahali ambapo mi nina bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Tupo low key na tuna kiss kwenye ndinga Vile tuna ball sema 'ooh tunavimba' Kuku approach ilikuwa hard ka nawinda Hadi nikawa naimba zile ahadi Ukawa unvimba Leo bugana limerudi kwao Tuko na shida zetu wala sio za kwao Husband material a.k.a mopao Imeshafika posa bado tu vikao Na hata iweje, hata iweje Mimi ni wako tu Na hata iweje, hata iweje Nitabaki kwako tu Kama ni Gucci, Dolce & Gabana (Aaaah) Hata mi, naweza kupambana (Aaaah) Kama ni pesa wanasaka ile sana (Aaaah) Sana mama, sana sana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya baba mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Unanipa taabu ya kufanya nielewe Baada ya mama mzazi, si unafuata wewe Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yanga Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana Naiwe yangu, naiwe yangu Naiwe bugana (Laizer on the Mix) Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa Nahisi naibiwa na nguvu naishiwa
Writer(s): Faustina Mfinanga, William Lyimo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out