Lyrics

Hawa rappers wana rap au wanafanya rehersal Mbona Kila ngoma diss ama wanafanya mipasho Ninety nine degrees nikiwashoot tu wanakaa Wanajiita ma MC's na kurap hawajakomaa Pole kwa marapper fake wanaorap rap katoon Hii game sasa imechange mtaraprap bafuni Cuz mnarap rap kiuni na mnarap bila kubuni So mtarap sana kapuni ahah tena so mtarap sana kapuni. Bill Nass Bill Nass Bill Nass Akili zingepimwa uzito msingefika hata gram Badala ya kuwaza kesho eti mpo busy na instagram Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV So usijue sana kama huna hata plan B Tell dem me no fear no one me no fear no man Lakini bado ni one Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV So usijue sana kama huna hata plan B I say tell dem eeeh eeh Mazoea Waambie wasituzoee kabysa mazoea Kuzoeanaa Waambie wasituzoee kabysa mazoea Kuzoeanaa Hatutaki mazoea mazoea kuzoeana Mi sitaki mazoea mazoea kuzoeana Mwandiko mzuri sio lazima mwana Jua kuandika tu mengine tutaona Haina mbwembwe sana Tuhesabu likizama Inadi pay Kazini muda wa kijinga hatuna Huu mji mkubwa una vituko wakishangaa waambie wataliwa (Kwani huko walipotoka hawakuambiwa huu mji hatari) Kila kitu ni biashara hata jeneza na sanda yako Usipende amani wakati wa vita Utakufa mapema unafuata yasiyo kuhusu Kaungane na akina mama Ni ajabu na kwere ila longtime me Am watching Zinaitika kimya I cant see a nigga fuxxn Kila mtu afe kifyake ndo maisha ya mjini Kuzoea zoea watu mwisho utazoea majini Tell dem me no fear no one me no fear no man Lakini bado ni one Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV So usijue sana kama huna hata plan B I say tell dem eeeh eeh Mazoea Waambie wasituzoee kabysa mazoea Kuzoeanaa Waambie wasituzoee kabysa mazoea Kuzoeanaa Hatutaki mazoea mazoea kuzoeana Mi sitaki mazoea mazoea kuzoeana Aika (ahaa) Aika (ahaa) Aika (ahaa) T Touch Aika Aika (ahaa) Aika (ahaa) Aika (ahaa)
Writer(s): Hamis Mohamed Mwinjuma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out