Credits
PERFORMING ARTISTS
Shetta
Vocoder
Jux
Vocoder
Mr. Blue
Vocoder
COMPOSITION & LYRICS
Nurdin Bilal
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Shetta
Executive Producer
Lyrics
[Verse 1]
Eyoo elimu ni ya mjini ndo imenitoa kwenye bench
Na game na lisakata kama vita haviniwezi
Sina nyendo za pupa, kuhustle nisha graduate
Am the man tena super, kwa kuchakachua cash
[Verse 2]
Good time kila siku mara nyingi ziko bank
Balance kama manga hazinivuki hizi rank
Kuogopa na kushoboka sawa na kujitia doa
So fala kwa mamiko ukisimamia show
Homeboy
[Verse 3]
Ngumi za nini ujanja kumake doh
Of course shatta to shatta zaidi ya kumake show
Napojaribu nikifeli ujuwe nina plan B
Na plan B isha chunga mila ni pipi mpaka debi
[Verse 4]
Masaa yake elfu tisa mia tisa tisini na tisa
Makolo wabaki wao tu manyoka kibisa biso
Ujinga kabisa
Nina expose ya maisha, I can push
Pushi la kuvuta na siri (Kwani)
[Chorus]
Wanataka kufanana hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
[Refrain]
Ooh, ooh
Wanaforci tufanane nao
Ooh, ooh
Hatutaki kufanana nao (Beiby)
[Verse 5]
Wako merry ooh kwa club, wanalewa wanayumba
Star niko sites najenga majumba
Kisha jua unachagua vuitton au vumba
Nimekua nishajua Mungu sio ndumba
[Verse 6]
Bitch be humble, less kwa kimada
Hujui kukatika basi changia hata mada
Rider wa deal cheki ibada, we go harder!
[Verse 7]
Chilling with the bling bling star kama Gucci and Prada (Prada)
Mpaka mkiniona msemee (Shikamoo baba)
Heeh yeah
I give some more dada
Oldskul kama vile Peter more brother
Change style, huwezi change roho saba
Mdudu wrong shada, dada sugua gaga
Huwezi iweka hapa
[Verse 8]
Me na haba na haba na haba haba nimejaza kibaba
Wanataka kufanana hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
[Refrain]
Ooh, ooh
Wanaforci tufanane nao
Ooh, ooh
Hatutaki kufanana nao (Beiby)
[Verse 9]
Wanataka kufanana hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Story zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
[Refrain]
Ooh, ooh
Wanaforci tufanane nao
Ooh, ooh
Hatutaki kufanana nao (Beiby)
Written by: Nurdin Bilal

