Lyrics

Genje streets si mnajua ni kuwamocho Nikirao naraukia kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Niko gwethe niko zanabe kana kana shi Nimepandisia mbanati ju ni nganyare Kuna vile nimekanafi nimembana shi Mboto ni mbena sumbe na Fe juu niko na ki sshh Sa ubaya ni njanamo eti renangwa Makang'ethe na wanjanasu juu niko masii Malego na mnganazii Sosi na Mercy Nawateki hadi wanatii Zikiwamocho kanga mpaka wanjivo Mbogi yake ni kupach kama wagido Genje streets si unajua ni kuwamocho Nikirao naraukia kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Wamocho riang ni kiwamocho Niko masongi we tegea nijimess Na kunyaku mi hurieng kujibless Leo ngware mi hustaga na aref Ka ibada wanatazama zikiarrest Kwa marealer mi nitazirelease Ju huwaga musema mayut walibreeze Uwe roast like chaji kismart Nikirun re nakuwaga shida na Za punya mi husaka kwa giz Toa chok ukizidigi kabisa Dirty me siezi float Mi hu-go deeper (Kuwamocho mbogi ni kuwamocho) Genje streets si mnajua ni kuwamocho Nikirao naraukia kuwamocho Wamocho riang nikuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Mbuku jo nimekula mbuku jo System jo imeninyima kazi jo Digrii yangu ni urembo jo Mbogi jo inataka dishi jo Inabidi tuwateke wamocho Tupate ja machwara wamocho Utanipata zabe kana she Nikichora vile nitateka tu wathii Niite mkulima na mimea Mkurugezi wa kujipulizia Kuwamocho ndio riba Genje streets si mnajua ni kuwamocho Nikirao naraukia kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Racho bila nginyo ni kurianyu Wolabed na 21 ka runa Wairuwa kujirianyu na makugling Mongreal moscow za kigangfa Wavecro daila ngyai ni warena Wolla kila yut tuko MG Dormplay na machweng'a kila rengwa Mbatcho ngwara chude ngenje Chimling nawaflim ka aladin Wedepo tuko depo wakiwamocho Kianjete nauwo bree tukibambuka Rakitich kuwadalo wakiwamocho (Genje streets si manajua ni kuwamocho Nikirao naraukia kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho Wamocho riang ni kuwamocho) ×2
Writer(s): Major Nameye Khadija Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out