Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lameck Ditto
Lameck Ditto
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dotto Bernard
Dotto Bernard
Songwriter

Lyrics

Ooh ooh
Nimeamua kuupumzisha Moyo wangu
Maana siku Nyingi unateseka juu yangu
Kutwa kupelekwa puta na akili yangu
Eti kisa kuuridhisha mwili wangu
Achaaa nikajaribu na kwingine, sio fungu langu pengine
Moyo sukuma damu sio vingine
Mwili usije zusha na vingine, kuanza kuparama na mengine
Moyo sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Moyo usichanganye na vingine
Ayeeee ayeee ayeee
Moyo sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Usichanganye na vingine
Kwenye mapenzi yaliyonifika sio siri yangu
Maana wengi mliiona hali yangu
Kitambaa kiliyachoka machozi yangu
Tabu niliyoipata sio stahili yangu
Aaah haaa sasa mimi ni mtu mwingine, niliyefunzwa na mengi eeeh
Moyo sukuma damu sio vingine
Tenaa usidanganywe na mwili eeh, umeumbwa kutamani mengi eeh
Usije nikumbusha ya kuleee
Ayeee ayeee ayeee
Sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Moyo usichanganye na vingine
Ayeee ayeee ayeee
Sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Usichanganye na vingine
Usisikize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Ayee ayee ayeee
Sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Moyo usichanganye na vingine
Ayeee ayeee ayeee
Moyo sukuma damu sio vingine
Ayeee ayeee ayeee
Usichanganye na vingine
Mo mo Moyo sukuma damu sio vingine
Written by: Dotto Bernard
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...