Lyrics

Mmmm G man a gwanzo Ulivyo Leo hiyo niya leo Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo ulio nayo (Niyaleo) Hizo shida ulizonazo (Ni za leo) Huenda kesho iyo rada ibadike Rada ibadike olala Rada ibadilike olala Huenda kesho iyo rada ibadilike Rada ibadike olala Rada ibadilike olala Huenda kesho iyo rada ibadilike olala Wamekubadika majina Wakakuita Nisha na shida hawajui kunaye anayepeana majina Hawajui na hawatawai jua ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako Cha muhimu ni we kujitambua na usonge na rada yake Hawajui na hawatawai jua ni nini kesho Mungu amepanga na maisha yako Cha muhimu ni we kujitambua na usonge na rada yake Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo ulio nayo (Ni ya leo) Hizo shida ulizonazo (Ni za leo) Huenda kesho iyo rada ibadilike Rada ibadike (olala) Rada ibadike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike Rada ibadilika(olala) Rada ibadike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike(olala) Boomshaka Wanakusema Sema Sana we kazana Usichoke Kupambana yote ukimwamini bwana story yako itabadilika Walinisema hivyo hivyo hivyo hivyo Hivyo ona sasa story yangu imebadilika Aliyefanya hivyo hivyo hivyo hivyo Hivyo kwangu mimi kwako pia atabadilisha Ulivyo Leo hiyo ni ya leo Huenda kesho iyo rada ibadilike Matatizo ulio nayo (Ni ya leo) Hizo shida ulizonazo (Ni za leo) Huenda kesho iyo rada ibadilike Rada ibadilike (olala) Rada ibadilike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala) Rada ibadike (olala) Rada ibadike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala) Rada ibadike (olala) Rada ibadike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala) Rada ibadike (olala) Rada ibadike (olala) Huenda kesho iyo rada ibadilike (olala) Rada ibadike
Writer(s): Peter Audiphaxad Omwaka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out