Credits

PERFORMING ARTISTS
Guardian Angel
Guardian Angel
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Peter Audiphaxad Omwaka
Peter Audiphaxad Omwaka
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Ninangojea, ngojea
Baraka zangu
'Na imani nitapokea, pokea
Ee Mungu wangu
[Verse 2]
If I don't know how to pray
Please Lord teach me, teach me
Oh Lord I want to sow but if I don't know where to sow
Please Lord show me, ooh yeah
[Verse 3]
Hasa nikifa moyo leo
Na kumbe kesho n'do ulipanga
Kunibariki itakuwaje? aje?
Nikikata tamaa leo
Na kumbe kesho n'do ulipanga
Kuniinua, itakuwaje?
[PreChorus]
Nazidi kazana, kwa imani nangoja
Ipo siku itafika
[Chorus]
Ninangojea, ngojea
Baraka zangu
'Na imani nitapokea, pokea
Ee Mungu wangu
[Chorus]
Ninangojea, ngojea
Baraka zangu
'Na imani nitapokea, pokea
Ee Mungu wangu
[Verse 4]
Walio navyo, si ni wewe uliwapa, Baba?
Oh Baba, nami ngangoja
Wabarikiwa si ni we unabariki Baba
Oh Baba, nami ngangoja
[PreChorus]
Nazidi kazana, kwa imani nangoja
Ipo siku itafika
[Chorus]
Ninangojea, ngojea
Baraka zangu
'Na imani nitapokea, pokea
Ee Mungu wangu
[Chorus]
Ninangojea, ngojea
Baraka zangu
'Na imani nitapokea, pokea
Ee Mungu wangu
Written by: Peter Audiphaxad Omwaka
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...