album cover
Nashangaa
album cover
Nashangaa was released on January 15, 2021 by Aslay as a part of the album Nashangaa - Single
January 15, 2021
LabelAslay
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Nitunze kama mboni ya jicho lako maa
Sitokufanya dhihiri utamu ukitafuna
Iweke mdomoni kila ukisema
Ghetto liwe VIP lipambe kwa mishumaa
Ongeza upole wako bae mama
Usiniudhi usije niacha mazima mama
Mwenzako chizi wa mapenzi
Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
Nipe nyama ya kasa
Ukikosa papa samaki nipatie ngisi
Saa ya nini limbwata
Na nimekwisha apa mwengine hawana nafasi
[PreChorus]
Umenisafisha nilipochafuka
Walahi sikuachi
Mi ni kuku wako ndani nitafika
Ya nini manati?
[Chorus]
Hivi mpenzi umenipa nini? Nashangaa
Na kama dawa hio dawa gani? Nashangaa
Mbona kupenda kwangu sio kawaida nashangaa
Unanipa furaha nasahau shida ooh nashangaa
[Verse 2]
Mwanamke sura nidhamu shule
Wasione naringa siringi bure
Mi mgonjwa matibabu bure
We ndio mganga wangu njoo tupige deni
Alama, alama
Chunga tusije vunja kitanda
Na dada, na banda
Mvishe suti Martin Kadinda
Ongeza upole wako bae mama
Usiniudhi usije niacha mazima mama
Mwenzako chizi wa mapenzi
Usinibughudhi ukaja kupata lawama bwana
[PreChorus]
Umenisafisha nilipochafuka
Walahi sikuachi
Mi ni kuku wako ndani nitafika
Ya nini manati?
[Chorus]
Hivi mpenzi umenipa nini? Nashangaa
Na kama dawa hio dawa gani? Nashangaa
Mbona kupenda kwangu sio kawaida nashangaa
Unanipa furaha nasahau shida ooh nashangaa
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...