album cover
Baby
42,776
Music
Baby was released on July 18, 2017 by Sony Music Entertainment East Africa as a part of the album Baby - Single
album cover
Release DateJuly 18, 2017
LabelSony Music Entertainment East Africa
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer, Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Producer

Lyrics

Unazima simu yako ukiwa na mimi
Nimesha kua mume wako hasira za nin
Tena upungze vituko tukiwa chumbani
Mendokama baba yako nilo kuweka ndani
Hee
Habari zako nazi pataga
Minabakitu me naumia
Una nitukana uki lewami
Sina kitu naki bamia
Natamani nije kukumwaga
Ila siwezi nitaumia
Punguza vituko basi we dada
Nipate rahaya duniaaa yaya
Baby basi
Tuliza yangu naaafsi
Tuache utoto bas
Twende na wakatii
Baby basi tuliza yangu nafsi
Tuache utoto basi twende na wakatii...
Kikubwa heshima
Najua siwezi kua pekeangu
Tunza langu jina mama
Na uwa ogope ma rafiki zangu
Nakupenda sana
Hutaki kubadilika we mwenzangu
Unani nyanyasa sana
Kisa na linda hili penzi langu
Oh baby ogopa maradhi
Tusije tuka ziikwa mapema
Utani samehe kama me nakosea kusema
Habari zako nazipataga
Nabakitu me naumia
Unanitukana ukilewaga
Sina kitu na kibamia
Natamani nije kuku mwaga
Ila siwezinita umia
Punguza vituko basi we dada
Nipate raha ya dunia yaya
Baby basi tuliza yangu nafsi
Uache utoto basi
Twende na wakati
Baby basi tuliza yangu nafsi
Uache utoto basi twende na wakaati
Mama wololo wololo
Mapenzi yamekabakoo kabakoo
Kaja kunitoa roho toa roho
Kamoyo kako mbio mbio mbio
Mama wololo wololo
Mapenzi yamekabakoo kabakoo
Kaja kunitoa roho toa roho
Kamoyo kako mbio mbio mbio
Baby basi
Unaniumiiza mwenzako oh
Ooh baby basii...
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...