Music Video

Essence of Worship ft Paul Clement -Hutimiza Maagano
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Essence of Worship
Essence of Worship
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Essence of Worship
Essence of Worship
Songwriter

Lyrics

Hutimiza maagano Wewe ni Mungu usiyeshindwa Hutimiza maagano Wewe ni Mungu usiyeshindwa Iyelele ma, Iyelele ma Iyelele ma, Iyelele ma Hutimiza maagano Wewe ni Mungu usiyeshindwa Unaweza unatosha Ukisema unafanya Unaweza unatosha Ukisema unatenda Mwaminifu ndiwe, mkamilifu ndiwe Ukisema unafanya, ukiahidi unatenda Mwaminifu ndiwe, mkamilifu ndiwe Ukisema unafanya, ukiahidi unatenda Bwana waweza, Yesu waweza Twakuamini twakuamini Bwana waweza, Yesu waweza Twakuamini twakuamini
Writer(s): Essence Of Worship Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out