Credits

PERFORMING ARTISTS
Victoria Amani
Victoria Amani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Emmanuel Zabron Philipo
Emmanuel Zabron Philipo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chief elie
Chief elie
Producer

Lyrics

Verse1
Mungu umenipa nafasi nyingine tena, nafasi ya kushukuru ule wema upendo wako
Naomba uzima hekima yako hata nisijivune maana mtenda yote
Hata yale yamepita ukaniongoza nimebaki na amani
Na umeniweka pazuri ninakushukuru Baba wa mbinguni.
Chorus
Pamoja na shida zangu zote najua uko nami na niwe sehemu yako
Naomba Baraka zako zije zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo
Wanipenda na hujawahi niacha kuna mda sivumiliki bado Mungu wangu wanipenda
Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe univusha kwa mambo mengi.
Verse 1
Mungu hufanya mambo makubwa kwangu nisiyo yajua husimama na mimi usiku mchana
Hata nikatafuta wa kumwambia na sikumpata na skumpata nikakuona wewe Mungu mweyenye upendo
Mungu wewe una siri kubwa nisiyo ijua umenipigania mmmh usiku mchana
Haya mafanikio pia yakaja umekua na mimi hujaacha nishindwe sifa zikurudie.
Chorus
Pamoja na shida zangu zote najua uko nami na niwe sehemu yako
Naomba Baraka zako zije zifike na unyenyekevu kama Mungu uishivyo
Wanipenda na hujawahi niacha kuna mda sivumiliki bado Mungu wangu wanipenda
Wewe ni sababu ya mimi kuishi hata hapa niko na wewe univusha kwa mambo mengi
Written by: Emmanuel Zabron Philipo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...