Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Songwriter

Lyrics

Nitayainua macho yangu juu nitazame milima Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika Bwana Majeshi yajapojipanga kupigana nami Moyo wangu hautaogopa Maana najua husinzi wala hutalala Bwana wangu utanipigania 2 Eeh Bwana nimeungojea wokovu wako na maagizo yako nimeyatenda Nafsi yangu imezishika shuhuda zako nami nimekupenda mno Nimeyashika mausia yako maana njia zangu zi mbele zako Bwana kilio changu yakikukaribia unifahamishe sawa na neno lako Dua yangu na ifike mbele zako uniponye sawa na ahadi zako Midomo yangu na itoe sifa kwako ulimi wangu uimbe ahadi zako Nafsi yangu na iishi ipate kukusifu hukumu zako zinisaidie 2 Eeh bwana... 2
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out