Music Video

Martha Mwaipaja - CHA KUTUMAINI SINA (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
Composer

Lyrics

Cha kutumaini sina ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha, zambi zangu kuziosha Cha kutumaini sina ila damu yake Bwana Sina wema wa kutosha mimi, zambi zangu kuziosha Kwa Baba nanyenyekea oh (Mwamba ni salama) Niko kwenye Mwamba oh (ndie Mwamba ni salama) Ni Mwamba salama (ndie Mwamba ni salama) Sitarudishwa nyuma na chochote (Mwamba ni salama) Nimesimama kwenye Mwamba (ndie Mwamba ni salama) Mwamba salama (ndie Mwamba ni salama) Anapigana kwa ajili yangu, oh (Mwamba ni salama) Ananitetea Mwamba (ndie Mwamba ni salama) Mwamba yeye ni Mwamba (ndie Mwamba ni salama) Mtetezi anaishi milele, milele (Mwamba ni salama) Yeye ni Mwamba kwangu, ni Mwamba kwangu (ndie Mwamba ni salama) Ni Mwamba (ndie Mwamba ni salama) La-la-la-la-la-la-la-la-la-la Njia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndio nanga Njia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndio nanga Kwa Baba yangu nasimama, eh (Mwamba ni salama) Nimesimama salama jamani (ndie Mwamba ni salama) Sina mashaka (ndie Mwamba ni salama) Mwenzenu nikilia ninanyamazishwa (Mwamba ni salama) Jamani mi' nipo kwenye mwamba (ndie Mwamba ni salama) Mwenzenu sihofu (ndie Mwamba ni salama) Anateta na adui zangu wote (Mwamba ni salama) Huyu ni Mwamba, ni Mwamba jamani (ndie Mwamba ni salama) Ni mwamba (ndie Mwamba ni salama) Anaandaa meza mbele ya watesi wangu (Mwamba ni salama) Ananifanyia njia mwenzenu (ndie Mwamba ni salama) Niko kwenye mwamba (ndie Mwamba ni salama) Ah, ha Kristo ni Mwamba imara Nikiitwa hukumuni rohoni nina amani Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele zake Nikiitwa hukumuni ah, rohoni nina amani Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele zake Kwa Baba nanyenyekea, ah (Mwamba ni salama) Baba yangu ni mwamba (ndie Mwamba ni salama) Nipo salama kabisa (ndie Mwamba ni salama) Mwenzenu sina mashaka nimesimamiswa (Mwamba ni salama) Kwenye Mwamba imara (ndie Mwamba ni salama) Mwamba, mwamba (ndie Mwamba ni salama) Sijajaza mashaka ndani yangu ninanguvu (Mwamba ni salama) Yuko na mimi Baba (ndie Mwamba ni salama) Ah-ah, Baba (ndie Mwamba ni salama) Ananichunga popote niendapo niwe salama (Mwamba ni salama) Ananiandalia (ndie Mwamba ni salama) Meza mbele yangu (ndie Mwamba ni salama) Amenificha kwenye Mwamba adui hataniona (Mwamba ni salama) Ni Mwamba, Mwamba (ndie Mwamba ni salama) Ni Mwamba, Baba ni Mwamba (ndie Mwamba ni salama) Ah, ahsante mwamba imara (Mwamba ni salama) (Ndie Mwamba ni salama) Mwamba salama (ndie Mwamba ni salama) Sitaogopa chochote nipo kwenye Mwamba (Mwamba ni salama) Mwamba umenikinga (ndie Mwamba ni salama) Mwamba unanilinda (ndie Mwamba ni salama) Kitu gani mwenzenu kinitoe kwake (Mwamba ni salama) Amenitengeneza (ndie Mwamba ni salama) Amenibatilisha (ndie Mwamba ni salama) Ananikinga na kila hila za adui (Mwamba ni salama) Kwenye Mwamba mimi nipo salama (ndie Mwamba ni salama) Jamani (ndie Mwamba ni salama) Ameyanyoosha mapito yangu napita salama (Mwamba ni salama) Salama, salama, salama (ndie Mwamba ni salama) Ni Mwamba salama (ndie Mwamba ni salama) Amenilaza kwenye kifua chake cha upendo Ni Mwamba salama kwangu salama, ah Nimwache niende kwanani? Kwanani? Mwenzenu, oh Yeye ni Mwamba, ni Mwamba, ni Mwamba oh, ni Mwamba
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out