Lyrics

Ohh!! Damu ya Yesu Imenifanya ning'are Still alive! Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu ehh Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Wewe waitwa nuru Eti nuru ya watu Ukiingia kwangu mi nang'ara Ndani ya hiyo nuru Eti kuna uzima Ukiingia kwangu nina uzima Uso wake Yesu aliye sura yake Mungu Umeingia kwangu mi nang'ara Nuru ya injili utukufu wake Kristo Umeingia kwangu mi nang'ara Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Inuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Inuka uangaze weh! Nuru yako imekuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Mataifa watakujia Wafalme watakuja Utukufu wa Bwana umekuzukia wewe Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Wee umenifanya ning'are Yesu Halleluyah! Kumtumikia Mungu kuna faida! Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Umenifanya ning'are Yesu Yesu
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out