Mbagala
62,359
Afro-Pop
Mbagala was released on November 28, 2013 by WM South Africa as a part of the album Kamwambie
Most PopularPast 7 Days
00:25 - 00:30
Mbagala was discovered most frequently at around 25 seconds into the song during the past week
00:00
00:25
00:35
00:40
00:50
01:15
01:25
01:30
01:40
01:55
02:10
02:25
03:30
03:50
04:05
00:00
04:06
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
bob junior
Producer
Lyrics
[Intro]
Mm-mm, mm
Mmh
[Verse 1]
Busara na upole, na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
Vyote haukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
Akuti na Mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
Eti kisa mali, ukaona bora uniache mimi na uolewe
[Verse 2]
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani
Unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
N'liumia sana
Sana, ah
[Verse 3]
Ile siku shekhe namuona anachoma ubani (Ah-ha)
Unavishwa pete unakua mke wa fulani (Ah-ha)
Niliumia sana
Mi niliumia sana, sana
[Chorus]
Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[Bridge]
Ah-ah
[Verse 4]
Ungejua jinsi gani
Machozi n'lolia kwa uchungu wa penzi langu, na
Mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni
[Verse 5]
Hata kupendwa sitamani
Utamu wa mapenzi mwenzako umekula kwangu, ma'
Mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni
[Verse 6]
Ah, naskia hivi sasa una mtoto anaitwa Mamu
Vile akinuna mpaka atabasamu
Mmefanana sana
Sana
[Verse 7]
Mi' mwenzako tena mapenzi mi' sina hamu (Ah)
Tena na mpango wa kuhama Dar Es Salaam (Ah)
Nataka niende mbali, niepuke visa na walimwengu
Mi' mwenzenu siwezi
[Chorus]
Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[Bridge]
Nasema Mbagala, Mbagala, Mbagala, a-ah
Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
Nasema Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), Mbagala (Mbagala), eeh
Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
[Chorus]
Tatizo kwetu Mbagala (Mm, Mbagala), hapa nyumba mbele jalala (Mm, mbele jalala)
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi
Tatizo kwetu Mbagala, hapa nyumba mbele jalala
Tatizo kwetu Mbagala, ukaona mapenzi siwezi (Mama, ma', ah)
[Outro]
Mbele jalala (Jalala), kwetu Mbagala (Mbagala)
Mm, mape eeh, eeh
Eh-eh, hi-hi, na, na, na, na, na, na, eh
Ayo (Ayo), yo I'm Platnumz ladies, I'm back (I'm back)
The Sharobaro President, Bob Junior
Mr. Chocolate Flava
Yo, I'm back, Diamond I'm back ha-ha
Nimemaliza
Written by: Diamond Platnumz

