Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Vocals
Jah Prayzah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jah Prayzah
Songwriter
Lyrics
Oh baby mwagala, mwenzako jana sijalala, I'm thinking about you (Haa)
Mi mshamba wa Mbagala, nikiwaza wa vipara, presha yaja juu hmm (Aah)
Chunga usije nimwaga (Nyama na tonge, miuno ya kimakonde), nita tapatapa we ndo chanda chema
Wasokupendanga (Waona donge), ooh iyee (Yarabi shonde), wasije wakapata Insta vya kusema
I-phone material kila siku zinatoka (Aah), nisitiri mwenzio nnasimu ya goroka (Aah)
Kila siku vilio, kuumizwa nimechoka (Aah), pesa mbali fagio zisije zikakuchota, mimi nawe
(I love you) Barafu wa moyo wangu nakupenda wewe
(I love you) Ridhika na hali yangu, nizikwe na wewe
(I love you) Ungambata moyo wangu, ndoendane we (I love you), hee eeh ndoenda we
Jalili wangu kufomba kwa ubongo, hee mindonage misawa
Jalili wangu kufomba kwa ubongo, hee mindonage misawa
Namuyangu ili mufungo (Ayeyeyee), lujisime ungachinja fungo
Namuyangu ili mufungo (Ayayaya), lujisime ungachinja fungo
Salula (Sasa), he salula (Sasa), nipinde mkati (Sasa), lemoyo auu (Sasa)
Eeh eeh (Sasa), kukupata bahati (Sasa), nimeapa sikwachi (Sasa), eeh (Sasa), nikabidhi moyo (Sasa), eeh eeh
(I love you) Barafu wa moyo wangu nakupenda wewe
(I love you) Ridhika na hali yangu, nizikwe na wewe
(I love you) Ungambata moyo wangu, ndoendane wewe (I love you), hee eeh, ndoenda we
Ndoenda Tanzania leo (Ainabhee), ainabhee namai vangu (Ainabhee), ainabhee nkute tughahilaah (Ainabhee)
Asa twende Bongoo (Ainabhee), ooh bongo (Ainabhee), bongo mamaa (Ainabhee)
(Ainaa) Tungo na bababaa (Ainabhee), ku Zimbabwe (Ainabhee), Zimbaambabwe (Ainabhee)
Nighula tisee eeh (Ainabhee), kune masuguwa (Ainabhee), mfitila ndamoo (Ainabhee), ahiyee (Ainabhee), ahiyeyee (Ainaa)
Written by: Jah Prayzah