Lyrics

Anada what London, London Anada banger Fresh what Fresh ganga Mbuzi Mbuzi ganga Zi mbaka zi mbaka zi zi zii Ana sura ya binti na akilizi Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi Ski sitishiki hii ni kali timki Kaikubambe ni bambe tubambe (sii) Obulamu buwoma nga nanasi (sii) Zinamu ak'olumu bwofina chance (sii) Nze tebikyanemazamu ebye eno ensi (sii) Yo artin olwalera ninna vibe Nze abakazi si sosola tribe Please don't kill my vibe Twetale nge enjukii mu bee hive Tolina kyongamba nze nawamba One y'enamba ba pipo bwebagamba Gal shake your bum bum muziki tam tam Kambele transporter Jonathan statham Eyo Kenya mambo vipi are you happy Nze ndi happy, bulamu bwensi bumpi Uganda mambo vipi are you happy Nze ndi happy, obulamu bwensi bumpi Africa mambo vipi are you happy Nze ndi happy, obulamu bwensi bumpi Zi mbaka zi mbaka zi zi zii Ana sura ya binti na akilizi Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi Ski sitishiki hii ni kali timki Kaikubambe ini bambe tubambe (sii) Kasindizi matoke na mananasi (Sii) Ka si mbuzi basi mtananasi (sii) Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii) Ni lazima shower Nakuosha for closure Man I have a thing for Wabosha Hayi ni Bambi can you bubble and bambii Misitualiya can you handle dhambii Niko na ray of hope wapi amba rose Ni mkamba sa alidai kulamba dose Sina kamba kudai na siwezi lose Lose note hui n suicide note Take notice incase me nishushe roho Take notice incase nikushushe roho Take moti na kesho ulale fofofo Kuna bitches chiwawa na kokoko Zi mbaka zi mbaka zi zi zii Ana sura ya binti na akilizi Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi Ski sitishiki hii ni kali timki Kaikubambe ini bambe tubambe (sii) Kasindizi matoke na mananasi (Sii) Ka si mbuzi basi mtananasi (sii) Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii) Huwezi niki f jifunza ilishanifunza Chunga fan wako akisha nitease atakutoka Drip ni ya kukatak na shoka si nimedunga Ex ananidai na mimi sijadunga Ka hauni bambi kwako me siwezi waste dhambi Usikuje form ka unajua we huchangi Ka haujajipanga we jua leo hukati Me hulamba ganji tu juu chumvi si skari Sauti za mayolo, huwezi ni onea ata ukuje na digolo Naeza roga adi msanii arudi ocha Mbuzi rende rende mistari za itoka Zi mbaka zi mbaka zi zi zii Ana sura ya binti na akilizi Ni kiziwi huyu jua akimpa ndizi Ski sitishiki hii ni kali timki Kaikubambe ini bambe tubambe (sii) Kasindizi matoke na mananasi (Sii) Ka si mbuzi basi mtananasi (sii) Kasinyolo hatukaki mahennesy (sii) Kaikubambe ni bambe tubambe (sii) Obulamu buwoma nga nanasi (sii) Zinamu ak'olumu bwofina chance (sii) Nze tebikyanemazamu ebye eno ensi (sii)
Writer(s): Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out