Music Video

KUSHMAN - NAWACHA POMBE ft.SSARU X BENZEMA [SMS Skiza 8088424 To 811]
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kushman
Kushman
Performer
Ssaru
Ssaru
Performer
Benzema
Benzema
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kushman
Kushman
Songwriter

Lyrics

Nawacha pombe till' further notice Yaani nawacha pombe adi budangu a notice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi Dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dreaming Murda Nawacha pombe bado sitaki kudedi Nimepoteza figo, maini na mashemeji Pombe ilifanya niwe peng kienyeji Nilikunywanga Gin kanilalishia Jegi Pombe siipendi, naiweka pending Mukuchu, hii weekend no spending Yaani sitaki hizo party mi si attendi Na ndani sina tackin, ntafuta number za pedi Hutu tupombe twa choche za Githurai Tufombe tu tuwili unatekwa na Maasai, aai By chance, unakuta ni wa Rongai Na umepeana pie kwa lijitu halifai (Ssaru) Nawacha pombe till' further notice Yaani, nawacha pombe adi budangu a notice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi Aai nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha Pombe Kushman pedi wa magenge Sina nyege za pombe anymore Kuanzia Monday mi na pombe is a no Ata pombe ikuje na thong siikati Ata ikuje bila? Siitaki Pombe imefanya si enjoy salo' yangu Saa hii nina watoto wengi kuliko budangu Ni ma mimba tu, nikishalewa sifikiri ni ma mimba tu Wife atanihepa nisipo wacha pombe Nilipita choo nikakojoa kwa kikombe Ujinga ya pombe imenifanya kibogoyo Nilipigwa kidevu ju ya pombe ya uchoyo Aah, pombe na gari ni ka stima na maji Nilipita na kuku na mambuzi za Jirani Pombe inaweza kukudanganya Imagine ilifanya nikateka kim-mama (ayy) Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe Skiza Nawacha Pombe till 'further notice (Get out of here men) Nawacha Pombe mathangu a notice Mzinga moja napata Cirrhosis Sijakula nyama natapika Ostrich Ushawai cheza play station mlevi? Christiano anakaa Messi (aje?) Ukona Pad lakini si ya period Ukilewa kila dem wife material Sasa, tumelewa Sana? Sio sana Alehandro nawacha pombe Tll', further notice (ayy) Nawacha pombe till further notice Yaani, nawacha pombe adi budangu a notice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss
Writer(s): Sylvia Saru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out