album cover
Masido
449
World
Masido was released on January 1, 1978 by Universal Music Kenya Limited as a part of the album Epuka Tabia Mbaya
album cover
Release DateJanuary 1, 1978
LabelUniversal Music Kenya Limited
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Lyrics

Ooh Masido, Masido
Hali yake sasa imebadilika
Tabu za zamani alizopata
Amezisahau moja kwa moja
Amempata bwana mtulivu, eh
Wanapandana sana hasa kwa tabiya
Anachotaka, Masido hupata
Akikikosa ni bahati mbaya, oh
Mume wa zamani alimutesa
Kwa matusi mengi na magumu, eh
Ooh Masido alikonda
Kwa tabiya mbaya ya mumewe
Hata nguo kwake ni za tabu, eh
Mume wake kila siku kwenye pombe
Akirudi a'taka chakula
Asubuhi hakuacha hela
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Uzuri wa bibi ni mavazi we' kijana
Na mambo mengi ya kuvuka mara lazima uyatimize
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Wapi, wapi Masido, Masido?
Wapi, wapi Masido, Masido?
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Ooh Masido
Ooh Masido
Ooh Masido, eh-eh
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Hakutaki tena, hakutaki, ye'
Hakutaki tena, hakutaki
Oh Masido
Nilikua nakuonea huruma sana dada, ha
Wanakonga
Konga-konga
Oh Masido, ah Masido
Written by: Saidi Mabera
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...