Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Zesty
Zesty
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Siku nyingine tulivu, macho zangu yatazama mboni zako
Huku nikitafakari safari tuliopita
Sina mwingine believe, kwenye moyo uko peke yako
Jalali atujalie safari, tuweze fika
[Verse 2]
Ni mengi umenivumilia najua, nimekuvumilia najua
Tofauti zetu, mapungufu yetu
Yamefanya penzi kukoma
Toka nakutumia barua, nakuzawadia maua
Ukaribu wetu, mapenzi yetu
Yamegeuka chozi la fora
[Verse 3]
Nakutunza kama mboni ya jicho langu
Milele uwe ubavu wangu
Nakupa hati ya moyo wangu, wewe (Wewe)
Ni wakutengeneza furaha yangu
Unatembea na roho yangu
[PreChorus]
Usijekuniacha peke yangu wewe (Wewe)
Am starting new life (Aah)
Withy you in my life (Aah)
And am ready to spend the rest of my life with you
Am starting new life (Aah)
With you in my life (Aah)
And am ready to spend the rest of my life with you
[Chorus]
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say "YES"
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say "YES"
[Verse 4]
Nimetimiza ahadi
Nimetimiza malengo
Naiona nuru ya penzi letu iking'aa
Nipe watoto zawadi
Ishara ya upendo
Naiona nuru
[Verse 5]
Tabasamu lako ndani ya shela
Furaha yetu inawakera
[PreChorus]
Nami mfungwa wako kwenye jela ya mapenzi (Aah)
Am starting new life (Aah)
With you my wife (Aah)
And am ready to spend the rest of my life with you
Am starting new life (Aah)
With you my wife (Aah)
And am ready to spend the rest of my life with you
[Chorus]
Will you marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say "YES"
Marry me?
Will you marry me?
Will you marry me?
Please baby say "YES"
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...