Lyrics

Hashir Ola la-la la Maadui Wamenizidi Pesa na umri Nashangaa Sijui au tuseme Nina kiburi Nakataa Wanidai siwadai Ila nashangaa wananichukia Chuki zisizosababu Wanachinja mbuzi kafara ili Aslay apotee Ona wanvyomwaga hela Eh mungu Baba unitetee Wanamiliki mavogivogi Wanashindana na me dongotee Wana wish hataa niishiwe kodi Ni tange tange wanizomee Me myongeee Nimlilie Nani Kama si wewe Kisa tonge Wanabania waniondoeee Ila Me najikaza hvo me najikaz najikaza hvo hvo Me najikaza hvo Me najikaz Najikaza hvo hvo(Wanasema nalewaa) Me najikaza hvo me najikaz najikaza hvo hvo Me najikaza hvo Me najikaz Najikaza hvo hvo(Ety Aslay kaishiwa) Ma-fungu saba Ridhiki unagawa tu maanani We-ngine labda Wanataka kushindana nawe Mmmh mpaka napiga magoti (magoti) Namlilia mama (mama) Kisha narudi kwako Umlaze salama Sawa nyinyi manoti notiii Tutakutana kiyama Mnyonge narudi kwako Kwako maulana Wanachinja mbuzi kafara ili Aslay apotee Ona wanvyomwaga hela Eh mungu Baba unitetee Wanamiliki mavogivogi Wanashindana na me dongotee Wana wish hataa niishiwe kodi Ni tange tange wanizomee Me myongeee Nimlilie Nani Kama si wewe Kisa tonge Wanabania waniondoeee Ila Me najikaza hvo me najikaz najikaza hvo hvo Me najikaza hvo Me najikaz Najikaza hvo hvo(Wanasema nalewaa) Me najikaza hvo me najikaz najikaza hvo hvo Me najikaza hvo Me najikaz Najikaza hvo hvo(Ety Aslay kaishiwa)
Writer(s): Jorge Octavio Dominguez Guzman Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out