Lyrics

Eh Vanny boy (Vanny boy) Foundation, wanja nywele ya bei ya kiwanja Ndinga, mkwanja shopping mwendo wa kuchanja Sponsor, danga, wachune komesha viranga Basi vimba, tamba, block. Wakikuchamba (Oh lalala) cheusi mangala, Wakanda (oh lalala) Tukale sangara, wa Mwanza (oh lalala) Nywele chotara kinanda (oh lalala) geto papara misamba Chombo chombo chombo... Kanakwenda na fashion Chombo chombo chombo... Kana ngozi ya lotion Chombo chombo chombo... Mechi chumbani sebuleni Chombo (chi)chombo chombo... Ntakapeleka ukweni Macho yako nalewa mie, figo mkalia nyongo Pekecha pekecha, ulimbi ulimbombo Mi ni wako ni ng'ang'anie, kama mbozi na kimondo Nogesha nogesha, pegere na kamongo Oh baby baby, (baby) mwenzako nita dead-i (my baby) Hizo fujo chumbani betuka binuka kwa bed-i bed-i (Oh lalala) Cheusi mangala, Wakanda (oh lalala) Tukale sangara, wa Mwanza (oh lalala) Nywele chotara, kinanda (oh lalala) geto papara misamba Chombo chombo chombo... Kanakwenda na fashion Chombo chombo chombo... Kana ngozi ya lotion Chombo chombo chombo... Mechi chumbani sebuleni Chombo (chi) chombo chombo... Ntakapeleka ukweni Oh lo lo lo lo lo lo lo lo Oh lo lo lo lo lo lo lo lo Ayo Lizer
Writer(s): Rayvanny Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out