Lyrics

Namwona na Gari kubwa kuliko shida zake Namwona na wanawake Alisema Hakuna mungu watu wajipange Anadhani ni nguvu zake Akigonjeka daktari anatoka ng'ambo Akiboeka hapo utaona mambo Maombi kwake ni kelele Ndio nimeona nikueleze Oh hash tag Nebuchadnezzar Sauli pia ata kueleza
Writer(s): Owen Mwatia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out