Lyrics

Baraka nimepokea, kwako nimetulia mimi Nisije tumbukia kwa mambo ya dunia Kwako nijifiche milele Fitina zanizingira, anasa kila kona Kwa mikono yako, niweke mtakatifu Tokea leo hadi milele Niwie radhi mimi, kwa makosa yote Anipenda, anijali, anipenda (Repeat) Kazi ya msalaba, Nimeipokea, nimekubali Nitakusifu, nitakuimbia milele (Repeat) Ilikuwa ni juzi tu, mwanzo kwangu katembea Ukapumzisha kwangu kungojea Lakini kwako zaidi nasogea Nishiriki nawe kwa mazoea Zile kwako ndo napokea Nikuone, kwangu Baba ukinitendea Wewe ndo wangu tu, mimi na wewe tu Nikwone kwangu ukinitendea (Refrain) Kazi ya msalaba, Nimeipokea, nimekubali Nitakusifu, nitakuimbia milele Siri ni Yesu, Siri Ni Baba Siri ni ye x2 siri ni yesu (Repeat)
Writer(s): Owen Mwatia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out