Music Video

Featured In

Lyrics

Aah aaah aah... Oh ayoo, ooh ayoo ayoo ooh Eeh eeh... Mmmmmh (Yogo on the Beats) Chovya choyo Uko ng'ari ng'ari mama Wa majuu Ushakukubali moyo Nakuita eh, nakuita Nisikie mami Makopa makopa yanajiita Jina lako nani? We ni moko, limenipotosha Nikutingie moka, tai na suti eh We kocha kocha, hatari na nusu Nafunganga moko, dakika buku Kama kupenda nimedhaminia kwako Sa oya oya Naheshimu mapenzi kutoka kwako Sa oya oya Nikuoe ndo uone mama Sa oya oya Na ni mwendo wangu ooh Mama ooh Oya oya eh Oya oya eh Oya oya eh Oya oya aah Navimba najiona mwamba Kwenye mboni siruhusu chongoma yoo Yaani kama noma na iwe noma yoo Waonyeshe kipenzi changu cha ngama yoo Waite yoo Waite ite Waite yoo Waite ite Waite ite Waite ite ite aah Waite oooh Waite te yoo Nakuita eh, nakuita Nisikie mami Makopa makopa yanajiita Jina lako nani? We ni moko, limenipotosha Nikutingie moka, tai na suti eh We kocha kocha, hatari na nusu Nafungaga moko, dakika buku Kama kupenda nimedhaminia kwako Sa oya oya Naheshimu mapenzi kutoka kwako Sa oya oya Nikuoe ndo uone mama Sa oya oya Na ni mwendo wangu ooh Mama ooh Oya oya Oya oya eh Oya oya Oya oya aah
Writer(s): Omary Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out