Lyrics

Nifanye nikuone kioo kwako nijatazame eh Nifunike kwa upendo kwingine nisione he Nifanye nijione me stronger kwako ni simame eh Nipepee kwa upendo pressure inishuke eh. Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo Niishi nikifurahi me na wewe Nionyeshe mapendo tena kwa vitendo Maneno yasituharibie Niweke kwenye sayari nzuri ya mapendo Niishi nikifurahi me na wewe Nionyeshe mapendo tena kwa vitendo Maneno yasituharibie Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale Eeh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale Penzi letu "Libebe" Usilichuje kwa chujio "libebe" Wouwowowowoo "libebe" Usilishushe uninio "libebe", eh Penzi letu "Libebe" Usilichuje kwa chujio "libebe" Wouwowowowoo "libebe" Usilishushe uninio "libebe", eh Chakula hakipiti kinywani ukiwaga mbali na nyumbani Cheki moyo unavyokuita mamy Apite mbali ibilisi shetani Unakila sababu ya kuuteka moyo wangu (wangu) Haya simami yana dunda mapigo ya moyo Baki kwangu Asalale ka moyo nahisi umekachanja chale Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale Oh asalale ka moyo nahisi umekachanja chale Eh tupo sale sale we na mimi tubaki pale pale Penzi letu "Libebe" Usilichuje kwa chujio "libebe" Wouwowowowoo "libebe" Usilishushe uninio "libebe", eh Penzi letu "Libebe" Usilichuje kwa chujio "libebe" Wouwowowowoo "libebe" Usilishushe uninio "libebe", eh Wangu sinyorita baki na mimi usije ukatoroka Wenye magari wakaja wakakuteka Ukaniacha mimi nahangaika Hey! Leo wangu sinyorita baki mimi usije ukatoroka Wenye magari wakaja wakakuteka Ukaniacha mimi nahangaika Heyyeiyeeh Libebe Uhu! Babyy Libebe Uhu! Babyy Libebe Uhu! (Baby) (Libebe)
Writer(s): Bakari Katuti Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out