Music Video

Bahati - Mapenzi (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati
Bahati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bahati
Bahati
Songwriter

Lyrics

Wengi kwa mapenzi hawana imani, yaliwaumiza sana, mapezi yana tesa zaidi ya money×2 Yalimtesanga kakangu zamani, Nyumbani kawa kisirani.washirika wakatoka kanisani,, Yalimtesa kakangu zamani wameyaiba kwa burudani, mwenyewe ayaonyesha msalabani Oooh oh ooh ohh mapezi mbona utatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2 Nilifunzwa na babu alivyo mtunza nyanyaa.Nikasoma kwa baba naye anavyompenda mamaa×2 Na Adamu akampenda Hawa sababu akala lile tunda.Hapo ndipo Dhambi kazaliwa,, unakumbukaa weee Na Adamu akampenda Hawa haraku ndo maana tunalia.kwa mapenzi inafanya tunacheka,, unanipataa. Oooh oh ooh oh mapenzi kwanini unatesa tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2 Nkaogopa kupenda tena, Nikaogopa kupata wangu., Mtoto wa mama.mbona unatesa mapenzi.mbona unatesa kwai nini,, Mbona unatesa mapenzi Kazini, nyumbani, kanisa inasema Ooh ooh ooh oh mapenzi kwa nini unatea tesa,, aliyekuumba ni mola mola×2
Writer(s): Nimbona ''kidum'' Jean-pierre Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out