Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bahati
Bahati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kevin Mbuvi Kioko
Kevin Mbuvi Kioko
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Anayefanya sitoki nyumbani nimekaa
Anaye fanya sishiki na simu nimenyonga
[PreChorus]
Akinipa nameza nimedata
Akinishika nahema ninalewa
Siezi kata sina hata
[Chorus]
(Mwoneni) Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm) Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
[Verse 2]
Shika moyo wangu, na akili zangu
Na mawazo yangu chukua
Wewe ndio wangu, na mwandani wangu
Basi siri zangu chukua
[Verse 3]
Ona kama mtoto unanilea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoninywesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua
[Chorus]
(Mwoneni) Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
[PreChorus]
Ona kama mtoto unanilea
Ona sura yako nakuoa
Unavyoninywesha nimelewa
Usiongeze utamu utaniua
[Chorus]
(Mwoneni) Huyu (Chaguo langu, roho yangu)
Huyu aah, huyu (Mmh hmm)
Huyu (Chaguo langu, nawaonyesha mwoneni)
[Outro]
Ukinishika nahema
Ukinichumu nalewa
Akinipa nameza
Nimedata
Written by: Kevin Mbuvi Kioko
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...