Lyrics

Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Mtoto mtoto mtoto Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Mtoto ni baba yake Mtoto ni baba yake na wangu najua Mtoto ni baba yake Mtoto ni baba yake na wangu najua Bila we nina nini, nini? Na nitakula nini, nini? Bila we nina nini, nini? Na nitakula nini, nini? Mi naja kwako, we ndo baba, we ndo baba Nalia kwako, we ndo baba, we ndo baba Nakwama kwako, we ndo baba, we ndo baba Nalia kwako, we ndo baba, we ndo baba Ulisema watoto wakuje Ah-ah na nimekuja baba Ulisema watoto wakuje Ah-ah na nimekuja baba Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nitakufuata ka mtoto wa primo Ndani yako kuna blessings and I know Umenipa uhai na bado Vipi tena mi nitakuweka kando Nitakufuata ka mtoto wa primo Ndani yako kuna blessings and I know Umenipa uhai na bado Vipi tena mi nitakuweka kando Ulisema watoto wakuje Ah-ah na nimekuja baba Ulisema watoto wakuje Eeh eeh Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nakufuata ka mtoto (Toto) Nakuamini ka mtoto (Toto) Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia Nikikukosa nalia, naumia eeh Aii nakufuata kwa imani Nakufuata ka mtoto mtoto Uniongoze njiani Uniongoze njiani ka mtoto mtoto Sitasahau we ni nani Sitasahau we ni nani ka mtoto mtoto Na unipe nuru gizani Unipe nuru gizani ka mtoto mtoto
Writer(s): James Muhia Mukige Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out