Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kash Kaaria
Kash Kaaria
Performer
Edward's Ethan Okoth
Edward's Ethan Okoth
Bass Guitar
Mukami Gitonga
Mukami Gitonga
Lead Vocals
Rosebell Achieng
Rosebell Achieng
Background Vocals
Felix Kubo
Felix Kubo
Bass Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Kenneth Kabogo
Kenneth Kabogo
Songwriter
Mukami Gitonga
Mukami Gitonga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mutoria Mwaura
Mutoria Mwaura
Producer
Jay Mukhasa
Jay Mukhasa
Mastering Engineer
Mukami Gitonga
Mukami Gitonga
Vocal Recording Engineer

Lyrics

Aaaah Naona kama mnataka love Naona kama mnataka more Na bado mnataka kunikausha mimi Hapo ndipo nitasema no! Story ni ngori na mimi sina worry Sativa kapiga napaa Angani nafika pangani napita Na ngara naona si far Kashflow, kashflow vile inafaa Hopless, I'll give my heart until I love less Focus, baby darling can't you focus Juu, naona ona ona far Naona ona ona far Naona ona ona far Naona hata nikiimba Jazz Kiasi pia rhumba ikinijaz Bado nitamurder hiyo flow juu Sauti ni ngori na mi sina worry Na sifa kwa Messiah Hapa ni mbogi na mbogi ni mbwaya Mtoto wa saika haswa Kashflow, kashflow, vile inafaa Hopless, I'll give my heart until I love less Focus, baby darling can't you focus Juu, naona ona ona far Naona ona ona far Naona ona ona far Lakini saa zingine Watu wengine wananishangazanga Hicho kidame kinaweza kukuja hapa Na hiyo perfume yake inanuka hivyo Imagine waah Waah amekuwa akifanya squats Nilijua tu namuonanga asubuhi Akienda gym Eish haka kadame kanatesaaa Eeh kwanza hizo mangoma zake Umeziskia Kami I bless you Unaendelea aje Uko poa Messiah Hopeless Naona ona ona far Naona ona ona far Naona na ona far Naona ona ona far Naona ona ona far Naona ona ona far Juu ninakoenda ni far
Writer(s): Kenneth Kabogo, Mukami Gitonga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out