Credits
PERFORMING ARTISTS
Kash Kaaria
Performer
NDOVU KUU
Performer
Mukami Gitonga
Lead Vocals
Christopher Thandi
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mukami Gitonga
Lyrics
CHRISTOPHER THANDI GITHARA
Songwriter
Mukami Gitonga Kaaria
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beatsbymanta
Producer
So Fresh
Producer
Lyrics
[Verse 1]
I've been thinking about you and I wanna invade your space
You've been haunting me and I don't know how to escape
Pushing me to the edge if I slip, I'll fall on your face
Hoping you'll feel the same and maybe just call me babe
[Verse 2]
Cause, I've been setting the mood
Get you into the groove
Bind you up with my tools
Know you think that I'm cool
Ndovu me ndiye mkuu (Yeah)
Ndovu me ndiye mkuu uu
[Chorus]
Si unipe pe-pe-pe-pende
Juu nakupe pe-pe-pe-pendaa
Si unipe pe-pe-pe-pende
Juu nakupe pe-pe-penda
[Chorus]
I've been setting the mood
Get you into the groove
Bind you up with my tools
Know you think that I'm cool
Ndovu me ndiye mkuu (Yeah)
Ndovu me ndiye mkuu, uu-uu
[Verse 3]
Walisema osha sponsor ticket tutapata
Mapenzi ya kisasa ni ya hela
Ndio maana tuliacha kuitaka
[Verse 4]
Ukijikwa haumi, we subiri
Sitaki hii mapenzi ya kisiri
Kenye ninahisi, ni ka whisky
Ni siringi
[Chorus]
Si unipe pe-pe-pe-pende
Juu nakupe pe-pe-pe-pendaa
Si unipe pe-pe-pe-pende
Juu nakupe pe-pe-penda
[Chorus]
I've been setting the mood
Get you into the groove
Bind you up with my tools
know you think that I'm cool
Ndovu me ndiye mkuu (Yeah)
Ndovu me ndiye mkuu, uu-uu
[Verse 5]
Unadai pendwa hujawaitendwa
Ati nibid ndio nishinde hiyo tenda
Inanibidii niishi vile we hupenda
Hukai side dish kash main agenda
[Verse 6]
Eeh! Ushaanza kufeel shy
Unaskia kufanya vitu hijawahi try
Polite maryjane uanze kufeel high
In the night sugarcane nianze kufeel thighs
[Verse 7]
Ulimi tamu baby hii ni kipaji
Ndio me hukuambia uongo unahitaji
We mreal, me mtrue, unanifeel me too
So chorea beshte yako ye hukua mtiaji (Ah)
Tutese, tutese
Loud nights ndio ma neighbor wateseke
But kuna kitu moja utajua
Sijui kulove najua kumake love
[Chorus]
So si unipe pe-pe-pende
Juu nakupe pe-pe-penda
Si unipe pe-pe-pende
Juu nakupeependa
[Chorus]
I've been setting the mood
Get you into the groove
Bind you up with my tools
Know you think that I'm cool
Ndovu me ndiye mkuu (Yeah)
Ndovu me ndiye mkuu, uu-uu
Written by: CHRISTOPHER THANDI GITHARA, Mukami Gitonga, Mukami Gitonga Kaaria