album cover
KITAMBAA CHEUPE
45,479
African
KITAMBAA CHEUPE was released on December 5, 2018 by Ziiki Media as a part of the album KITAMBAA CHEUPE - Single
album cover
Release DateDecember 5, 2018
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

Hallo mama naondoka, ye, ye
Naenda nitarudi
Nyuma wabaki jiadhari na watu, fitina na wambea hao
Hallo mama naondoka, ye, ye
Naenda nitarudi
Nyuma wabaki jiadhari na watu, fitina na wambea hao
Bongo ina mengi mama, kila kukuchapo mambo mapya
Tuyazingatie ya kwetu wala tusiwape muda karagosi
Bongo ina mengi mama, kila kukuchapo mambo mapya
Tuyazingatie ya kwetu wala tusiwape muda karagosi
Zibolla ya malenda
Kitambala cheupe, pe, pe, pe, pe!
Bongo ina mengi mama, kila kukuchapo mambo mapya
Tuyazingatie ya kwetu wala tusiwape muda karagosi
Bongo inamengi mama, kila kukuchapo mambo mapya
Tuyazingatie ya kwetu wala tusiwape muda karagosi
(Nainua mkono mama, kitambaa cheupe)
(Ishara ya mapenzi mama, Oh Zibolla)
(Wewe na mi Zibolla mama, ua langu la moyo)
(Haya yote ni tisa tu moja ya jaza peke)
(Nainua mkono mama, kitambaa cheupe)
(Ishara ya mapenzi mama, Oh Zibolla)
(Wewe na mi Zibolla mama, ua langu la moyo)
(Haya yote ni tisa tu moja ya jaza peke)
Mama Zibo, mama Zibolla eh (Zibolla Eeh)
Yaya Zibo yaya Zibolla eh (Zibolla Eeh)
Nainua mkono mama oh ooh (Zibolla Mupenzi wangu)
Kitambaa cheupe chérie eh (Zibolla Eeh)
Naniua mkono bibi Eih (Zibolla chérie wangu mie)
Yapete na kidole ndo'no (Zibolla Eeh)
Chèrie Zibo, Chèrie Zibolla (Zibolla Eeh)
Nono Zibo Nono Zibolla eh (Zibolla Eeh)
Wewe na mi Zibolla mama oh ooh (Zibolla mupenzi wangu)
Ua langu la moyo shushu (Zibolla Eeh)
Mimi na we Zibolla mama Eh eh (Zibolla chérie wangu mie)
Mama Zibo Mama Zibo (Zibolla Eeh)
Haya yote ni tisa tu moja ya jaza peke
(Nainua mkono mama, kitambaa cheupe)
(Ishara ya mapenzi mama, Oh Zibolla)
(Wewe na mi Zibolla mama, ua langu la moyo)
(Haya yote ni tisa tu moja ya jaza peke)
(Nainua mkono mama, kitambaa cheupe)
(Ishara ya mapenzi mama, Oh Zibolla)
(Wewe na mi Zibolla mama, ua langu la moyo)
(Haya yote ni tisa tu moja ya jaza peke)
Written by: King Kikii
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...