Music Video

Mrisho Mpoto X Mbosso - Tausi (Official Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to Tausi - Single by Mrisho Mpoto & Mbosso
ALBUMTausi - SingleMrisho Mpoto & Mbosso

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto
Performer
Mocco Genius
Mocco Genius
Performer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto
Songwriter
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

Tausi wewee Tausi wee Karibu tausi uipambe nyumba yetu Tausi wewee Tausi wee Mpendwa tausi kwa yangu mwana kwetu Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Mpole sauti hiyo ndiyo sifa yako (tausi) Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Jichunge tausi wasinyofee nyowa lako Karibu tausi Karibu sana tausi Mchezo uliotukuta nao ni wa sadakalawe amina Mwenye kupata apate mwenye kukosa akose Kipo patiwa cha kuku kukali mweusi analiaje kwiyokwiyo Mpaka lini mwenye kupata apate Mpaka lini mwenye kukosa akose asante tausi Umeukataa mlio wa kwiyo na rangi ya kuku kugawana Tausi harufu unayo isikia ni ya chakula walichokula Wameamua tu kujisaidia nyuma ya nyumba Ii harufu irudi ndani kumchefua mpishi Usishtuke ndivyo ilivyo kwa watu wenye shibe Tausi umbo lenye kukataa huleta tumawe mawe Unapotaka kututambulisa watoto wako kwa wageni Tumia idadi yetu na sio ajira maana baadhi ya wanao wanatumia aka Siku hizi watakufuga kumbuka njika la kuni ni fungato lilo Fungwa kwa mkazo halipaswi kumumiza mubebaji Karibu tausi Tausi wewee Tausi wee Karibu tausi uipambe nyumba yetu Tausi wewee Tausi wee Mpendwa tausi kwa yangu mwana kwetu Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Mpole sauti hiyo ndiyo sifa yako (tausi) Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Jichunge tausi wasinyofee nyowa lako Tausi mimi mwanao baada ya kutoka jandoni Nilidhani mimi ni mkubwa sasa naambiwa ooh Icha kilichotolewa nikipande cha ngozi tu Hakina mahusiano na kukua kwako Kweli ina maana kila anaye ingiza kidole puani Ana mashaka na alicho nusa uliwai kusema we mwenyewe mnyonge Hapigani kwa fedha na tulifanya makosa kuchagua silaha Silaha tulio ichaguwa inatutia unyonge na kuondowa unyonge Kwa kutumia silaha ya wenye nguvu ambazo sisi hatuna Tunazidi kupoteka muda muda huu Wa sisi kukua au nyakati Tausi nimeamini asie ona anakutumia Jucho usiku sio kwa ajiri yake Anawamulikia wanao ona ili wasimkanyage Nah ii hii yote tausi lazima ioze Kila mwenye zamu yake asiwache kumwagilia Viroboto kupe huretaga virusi tausi Ukuta mweupe wasiufanye mweusi tausi Tausi wewee Tausi wee Karibu tausi uipambe nyumba yetu Tausi wewee Tausi wee Mpendwa tausi kwa yangu mwana kwetu Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Mpole sauti hiyo ndiyo sifa yako (tausi) Chanua mbawa zako (tausi) Waiyone rangi yako (tausi) Jichunge tausi wasinyofee nyowa lako
Writer(s): Sheila Shorongo, Mrisho Mpoto Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out