album cover

Ahh Wapi (feat. Baddest 47)

39,557Afro-Beat2020
album cover
Ahh Wapi (feat. Baddest 47) was released on September 13, 2020 by WHOZU as a part of the album Ahh Wapi (feat. Baddest 47) - Single
ReleasedSeptember 13, 2020
LabelWHOZU
LanguageEnglish
BPM111
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Nitrend nimeachika
Si nipost Juma Lokole (aah wapi)
Yaani nianze kufilisika
Alafu nijifanye mlokole (aah wapi)
Yaani mimi sindio kula
Yaani kisa tumeachana(aah wapi)
Akaacha ukini ublock
Kesho yake tunaruidiana (aah wapi)
Sema aah wee, aah wapi?
Sema tena aah wee, aah wapi?
Yaani unipeleke disco
Nirudishe bila demu (aah wapi)
Nisikujigi jigi
Kisa unaniitaga shemu (aah wapi)
Nitume na ya kutolea
Hujawahi nipa game (aah wapi)
Vunja bei na Mobetto
Eti ni mtu na shemu (aah wapi)
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Eti mwanamke hapigwi
Analabwa kisigino (aah wapi)
Naskia Shilole
Uchebe kamng'oa jino (aah wapi)
Nesi katumwa majibu
Eeh kaleta kipimo (aah wapi)
Ana kasura kazuri
Ila ana bonge la shi- (hahaha)
Sema aah wee, aah wapi?
Sema tena aah wee, aah wapi?
Ati mpaka nikuposti
Ndo ujue nakupenda (aah wapi)
Kwanza mapenzi hayafosi
Kama hutaki kwenda (aah wapi)
Sawa nakunywa Henessy
Boss anakunywa safari (aah wapi)
Kaagiza kuku mzima
Boss kaagiza kidari (aah wapi)
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Sema! Aah wee, aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
Aah wapi? Aah wapi?
Written by: Elis Musa, Oscar lelo

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...