Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Sound Boy
Sound Boy
Producer

Lyrics

Girl, you're the one in a trillion my princess
I swear I'm gonna marry you God's my witness
Unanijuliaa on my weakness, girl, you got eight-figure natural, you don't need fitness
Iliponikataa Dunia, nikajua na wewe utaniacha, moyoni niliumia nikajua sitoweza tena kukupata
Kumbe hukuwa na upendo bandia, moyo wangu bado ukaukumbata
Nikisema nakupenda nawe nipenda pia, tuvae sare-sare yani kama mapacha
We're Bonnie & Clyde, Aah! Girl we meant to be, Aah!
We're Bonnie & Clyde, Aah! Forever you and me, Aah!
Tunza heshima kwa baba na mama, walio kuzaa mwana
Natuombe mungu hatuvushe ujana, kwenye vita sana
Mti wenye matunda una andamwa, acha wanao tukana
Tabasamu lako basi linawachoma jamaa, na watakereka sana
Kwenye baridii, uwekoti, kwenye mvua, mwamvuli
Wanifariji sichoki, kwenye jua kinvuli, Yeah! Yeah! Yeah! Yeah!
Iliponikataa Dunia, nikajua na wewe utaniacha, moyoni niliumia nikajua sitoweza tena kukupata
Kumbe hukuwa na upendo bandia, moyo wangu bado ukaukumbata
Nikisema nakupenda nawe nipende pia, tuvae sare-sare yani kama mapacha
We're Bonnie & Clayde (Woo-woo), Aah! (Girl with me), girl we meant to be, Aah!
(Wee) We're Bonnie & Clsyde, Aah! (My princess), forever you and me, (Forever you and) Aah!
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...