Lyrics

Kuna mengi twayaona kama mambo ya kawaida Mengi twayapata twaona ni kwa nguvu zetu Mengi sana twayapitia twasahau anaye tulinda Saa zengine na hii pumzi twazani tumejipea Ila kuna yeye anaye fanya hayo yote Kuna yeye atendaye hayo yote Kuna yeye anaye fanya hayo yote Kweli kuna yeye atendaye hayo yote Ni Mungu tu Ni Mungu tu Afanyaye hayo yote Ni Mungu Tu Ni Mungu tu Ni Mungu tu Atulindaye siku kwa siku Ni Mungu Tu Ni Mungu tu Ni Mungu tu Afanyaye hayo yote maishani haya Ni Mungu Tu Ni Mungu tu Ni Mungu tu Atulindaye sote Ni Mungu Tu Si kwa bahati ama kwa nguvu zangu Ni neema yake tu yeye anaye niwezesha Na wanapo niuliza siri gani nimetumia Natabasamu nikiangalia juu, nasema Ni MUNGU TU Maana ni yeye anayefanya hayo yote Kweli ni yeye aliye tenda hayo yote Ni yeye aliye fanya hayo yote Na ni yeye tu atendaye hayo yote Ni Mungu tu Ni Mungu tu Afanyaye hayo yote Ni Mungu Tu Ni Mungu tu Ni Mungu tu Afanyaye hayo yote Ni Mungu Tu Baraka twapewa siku kwa siku Mafanyikio twafanyikiwa, yote ni Mungu tu Ata kwenye shida za dunia Anayetuwezesha katupa nguvu za kuendelea Safari twasafiri salama Na twarudi nyumbani salama, yote ni Mungu tu Si kwa matendo mazuri, ama kuwapitia wengine Ila yote ni neema na rehema zake Na nyuma ya kila jasho na mucoko wa mwili Kulikuwa mkono wake wa rehema Wa kunisaidia katika mambo mengi Amenijaza uvumilivu, akanipa amani Amenipa wokovu, ni Mungu tu, sifa zimurudiliye
Writer(s): Elie Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out