Music Video

Diamond Platnumz - Nawaza (Lyric Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Listen to First Of All by Diamond Platnumz
ALBUMFirst Of AllDiamond Platnumz
Listen to Diamond Platnumz Essentials featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTDiamond Platnumz EssentialsApple Music African
Listen to Top Songs of 2022: Tanzania featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTTop Songs of 2022: TanzaniaApple Music
Listen to BlaiseBeatz: The Producers featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTBlaiseBeatz: The ProducersApple Music African
Listen to Mbosso: Chop Life featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTMbosso: Chop LifeApple Music African
Listen to Elanur: Influences featuring Diamond Platnumz
PLAYLISTElanur: InfluencesApple Music Hip-Hop

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Nawa nawa Nawa nawaza tu Nawa nawa Nawa nawaza tu Nawaza pru mpaka makha ruge amerudi tena Je kwa huu mziki wa sasa sjui nini angesema Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema Yani mtoto unaemtunza ndio anakuombea ukilema, nashangaa Nawaza vanny na Elizabeth, clip zao zikivuja Ndoa itaimarika eti, au ndio ataivunja Nawaza muchana, usiku jibu halifiki Wanaonitukana tunabeef au ilimradi kiki Nawaza hawa kina kimambi bwana Wangekuwa wagawa ridhiki Hivi kweli ningejulikana Si wangenizima sisikiki Nilowaza leo nishawaza sana, Mi na Kiba ugomvi kipi Nikagundua ni ushamba na ujana Wakugombania mashabiki Nawa nawa Nawa nawaza tu Nawa nawa Nawa nawaza tu Ooh nawaza Huenda steven kanumba angelikuepo hai Nawaza movie zetu pia tungejidai Nawaza hivi kombe la dunia hatufikagi why? Nawaza tatizo ni team au uongozi haufai Mawazo mengine mtanange bora tuache Yataleta ukakasi Je angekuepo mzee nyange Uncle shamte angepata nafasi Nawaza ka ningekua na wema sepetu hadi leo Sjui ningekua nishafulia ama zaidi maendeleo Ooh nawaza siku nikifa sjui wasafi itakufa Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta Nawaza ooh, mama dangote nani chozi atamfuta Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka Nilowaza leo nishawaza sana Ninachoshindwa kuoa kipi Nikagundua naepusha lawama Maana najijua kwa kucheat Nawa nawa Nawa nawaza tu Nawa nawa Nawa nawaza tu
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Salmin Kasimu Maengo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out