Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Songwriter
Arrow Bwoy
Arrow Bwoy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nadia Mukami
Nadia Mukami
Producer
Sevens Creative Hub
Sevens Creative Hub
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

(Sevens Music) Mtoto anafanana na nani? Je ana macho kama Nadia Mukami? Atapenda gym kama baba yake Ali? Ndo maswali najiuliza tu kichwani Niliposikia nakupata Nililia machozi ya furaha (ya furaha) Ingawa sikuwa ready kukupata Sina budi sasa kuitwa mama Ila usijali wee Mama yako mchapa kazi sana Baba yako ana roho safi sana Wazazi wako wote maarufu sana Baby wangu wee, utatesa sana aah Namwita jina Kai, Kai, Kai Kai wangu weweee (Kai, Kai, Kai) Namwita jina Kai, Kai, Kai (Kai, Kai, Kai) Kai wangu wewee Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai) Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai) Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai Kai) Kai, Kai, Kaiii (oh nah nah nah) (Kaiii, Kaiiii, oh no no uuh, aiyayaa) I am the one to hold you baby Ju tumekungoja sana Toto nakuombea daily Mungu akuepushe na mabaya Eh hata dunia ikugeuke baby Sitakuwacha solo Nitakulinda wee wee wee Baby sitakuacha solo, uuuh Mama yako ni mchapa kazi sana Na baba yako nina roho safi sana Wazazi wako wote maarufu sana Kai wewe, utatesa sana (sanaa) Namwita jina Kai, Kai, Kai Kai wangu weweee (Kai, Kai, Kai) Namwita jina Kai, Kai, Kai (Kai, Kai, Kai) Kai wangu wewee Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai) Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai) Kai Kai Kai yo yo yoo (Kai, Kai) Kai Kai Kai yo yo (Kai, Kai) Aah, Kai Kai Kai yo yo Kai, Kai, Kai, yo yo Ooh Kai, Kai, Kai yo yo yo Nakupenda sana Nitakutunza sana Kai, Kai, Kai, yo Kai, Kai, Kai yo yo yo
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out