album cover
Nimeridhia
1,272
Afro-Pop
Nimeridhia was released on May 20, 2022 by Ziiki Media as a part of the album Cinema
album cover
AlbumCinema
Release DateMay 20, 2022
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM91

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Verse 1]
Kwa goti aliingia, nakutaka nimsamehe
Kumbe ananichora
Mapenzi yalinijia, kwenye moyo shurba tele
Ya-radhi akanijia
[Verse 2]
Kidudu mtu shetani akayavuruga
Akaingia mashakani tukashindwana
Kidudu mtu shetani akayavuruga aah
Akaingia mashakani tukakwazana
[PreChorus]
Nimeamini Kwenye moyo, huwezi penda Mara mbili
Penzi ukalitia kasoro, maskini mimi
Moyo wangu sio godoro, uwe juu me niwe chini
Si kisoda kwa kokoro, nimeshindwa mimi (Yeeah)
[Chorus]
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Siwezi ng'ang'ania (Sawa)
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Nimeshindwa mimi
[Chorus]
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Siwezi ng'ang'ania (Sawa)
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Nimeshindwa mimi
[Verse 3]
Kweli sio siri, ilizingwa mapema
Tamu yako ya asili, Ila ndani yachoma
Heri kuwa dhahiri, maumivu kusema
Mlaghai kwa hili, nafsi yangu imenena
[Verse 4]
Nashukuru kwa kidogo, ulichonipa nimepokea
Nitabaki kwa mikogo, huyo mwengine kumngojea
Nimeamini Kwenye moyo, huwezi penda mara mbili
Penzi ukalitia kasoro, maskini mimi
Moyo wangu sio godoro, uwe juu me niwe chini
Si kisoda kwa kokoro, nimeshindwa mimi (Yeeah)
[Chorus]
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Siwezi ng'ang'ania (Sawa)
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Nimeshindwa mimi
[Chorus]
Aaah haya nimeridhia (Sawa)
Siwezi ng'ang'ania (Sawa)
Aah haya nimeridhia (Sawa)
Nimeshindwa mimi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...